- 20,373 viewsDuration: 3:27Mpango wa uagizaji mafuta wa serikali kwa serikali umeibuka tena, mara hii nchini Uganda, kufuatia ufichuzi kuhusu mikataba tata inayodaiwa kuwagharimu walipa kodi wa Uganda mamilioni ya fedha. Rais wa Uganda Yoweri Museveni amefichua kuwa serikali yake ilisimamisha mpango wa kununua mafuta na bidhaa zake kupitia Kenya, baada ya seneta mmoja wa Kenya kumuonya kuhusu kuhusishwa kwa madalali katika mpango huo. Brenda Wanga anatufahamisha zaidi.