31 Oct 2026 8:18 pm | Citizen TV 381 views Duration: 2:19 Muuga FM imeandaa kambi ya matibabu ya saratani huko Igoji, Kaunti ya Meru, ikiwa ni mojawapo ya shughuli za kuadhimisha miaka 21 tangu kuanza kwa matangazo yake.