- 710 viewsDuration: 2:02Wakazi wa kijiji cha Tilito, katika wadi ya Chepseon, eneo bunge la Kipkelion Mashariki, kaunti ya Kericho, wanahesabu hasara baada ya madarasa mawili ya shule ya chekechea kuangushwa na mvua kubwa iliyosababisha upepo mkali jana majira ya saa kumi na mbili jioni.