22 Jun 2026 7:48 pm | Citizen TV 331 views Duration: 1:26 Waziri wa michezo Salim Mvurya ameahidi kukamilishwa kwa ujenzi wa uwanja wa michezo wa Masinde Muliro mjini Kanduyi kufikia mwezi Oktoba mwaka huu.