10 Nov 2026 1:48 pm | Citizen TV 1,297 views Duration: 1:57 Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Garissa, Udgoon Siyad, amezindua miradi ya kusambaza maji na chakula kwa wakazi wa vijiji 21 katika eneo bunge la Balambala.