Skip to main content
Skip to main content

Mwakilishi wa kike Jerusha Momanyi ataka ushirikiano kupambana na ukatili dhidi ya watoto Nyamira

  • | Citizen TV
    148 views
    Duration: 1:06
    Mwakilishi wa kike katika kaunti ya Nyamira Jerusha Momanyi ameomba ushirikiano kati ya jamii na asasi za usalama katika kaunti hiyo, ili kukabiliana na ongezeko la visa vya ubakaji, ulawiti na mauaji ya watoto.