26 Oct 2026 1:32 pm | Citizen TV 875 views Duration: 2:15 Mwakilishi wa Kike Kaunti ya Kisii Dorice Donya sasa anataka idara ya usalama na kampuni ya Kenya Power kushughulikia wizi wa mitambo ya kusambaza umeme Kisii hususan maeneo ya Bonchari.