Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi wa Gredi ya Saba auawa kwa risasi wakati wa operesheni ya usalama Laikipia Kaskazini

  • | Citizen TV
    1,194 views
    Duration: 2:25
    Mwanafunzi wa Gredi ya Saba katika Shule ya Msingi ya Churo ameuawa kwa kupigwa risasi huku watu wengine wawili wakijeruhiwa wakati wa operesheni ya usalama katika Kijiji cha Ratia, wodi ya Sossian, Laikipia Kaskazini.