Skip to main content
Skip to main content

Mwanaharakati wa Zimbabwe Brian Kagoro azuiwa kuingia Kenya

  • | Citizen TV
    144 views
    Wanaharakati wa makundi sita ya kutetea haki za kibanadamu wamekashifu tukio la kutolewa kwenye ndege kwa mtetezi wa haki za kibinadamu kutoka taifa la Zimbabwe Brian Kagoro akiwa jijini Addis Ababa nchini Ethiopia alipokuwa akisafiri kuja humu nchini jumanne.