3 Nov 2026 7:36 pm | Citizen TV 1,495 views Duration: 4:54 Katika Mwanamke Bomba hii leo tunamuangazia Joyce Nungari aliyejitolea kuwahudumia na kuwalea wazee waliotelekezwa na familia zao. Ifuatayo ni simulizi yake kwa kina.