Skip to main content
Skip to main content

Mwanamume akamatwa kwa kumfanyia mtahiniwa mtihani Nakuru

  • | Citizen TV
    4,802 views
    Duration: 2:29
    Maafisa wa usalama katika Kaunti ya Nakuru wanamzuilia mwanamume mmoja aliyekamatwa kwa madai ya kumfanyia mtihani mtahiniwa katika shule moja ya upili mjini humo. Haya yamejiri huku Wizara ya Elimu ikithibitisha kuwa watahiniwa watatu wamefariki tangu kuanza kwa mitihani hiyo. Maryanne Nyambura ana taarifa zaidi.