12,207 views
Duration: 1:31
Nurdin Bilal @officialshetta anajulikana kwa nyimbo mbalimbali kama vile Nidanganye, Mama Qayla Kerewa na nyingine nyingi.
-
Amezungumza na loko_omi masuala mbalimbali ikiwemo binti yake kujihusisha na siasa, mustakhabali wake kimuziki na mengine mengi
-
Unaweza kufuatilia mahojiano kwa urefu zaidi katika Youtube ya BBCSwahili
#bbcswahili #tanzania #nyotawaafrikamashariki
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw