5 Nov 2026 1:10 pm | Citizen TV 450 views Duration: 2:15 Polisi katika Kaunti ya Migori wameanzisha uchunguzi kuhusu mgodi ulioporomoka na kusababisha kifo cha mtu mmoja huku wengine wakijeruhiwa katika kijiji cha Kabobo, kaunti ndogo ya Suna Magharibi