- 3,053 viewsDuration: 1:39Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 31 amekamatwa katika eneo la Rhonda, Nakuru Magharibi, huku lita 23,000 za kang’ara na lita 100 za chang’aa zikinaswa pamoja na vifaa vya kutengeneza na kuhifadhi pombe hiyo vikinaswa na vingine vikiharibiwa katika katika oparesheni dhidi ya pombe haramu.