5 Nov 2026 1:29 pm | Citizen TV 696 views Duration: 29s Viongozi mbalimbali huko Nanyuki wamejadili urithi wa kisiasa wa aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga, wakisema uongozi wa kweli haupimwi kwa kushikilia mamlaka ya urais pekee, bali kwa athari anazoacha kwa taifa