- 431 viewsDuration: 23:25Tunajadili mikakati ya taifa katika uzalishaji chakula kilimo nchini kinategemea pakubwa misimu ya mvua mapendekezo yatolewa kuhusu teknolojia zaidi za kilimo Je, utafiti umeimarisha kiasi gani cha uzalishaji wa chakula? kiwango cha chakula kinaendelea kuongezeka nchini