- 242 viewsDuration: 2:31Mwenyekiti wa EACC, Dr. David Oginde amesisitizia ushirikiano kati ya asasi za kupambana na ufisadi ili kufanikisha kesi zinazowasilishwa kortini. Akizungumza kwenye kikao cha kilichoandaliwa na chama cha wahasibu ICPAK, Oginde ametoa wito kwa wakenya kuwa mstari wa mbele kupiga vita ufisadi. Naibu mkaguzi wa hesabu za serikali alitilia mkazo mchango wa wananchi kwenye vita hivyo.