30 Oct 2026 10:19 am | Citizen TV 20,001 views Duration: 5:47 Mwili mmoja umepatikana na kuondolewa katika vifusi vya jengo lililoporomoka mtaani eastleigh katika siku ya nane ya shughuli za uokoaji.