Skip to main content
Skip to main content

Mzozo Iran: Uchumi wa dunia unaendelea kutatizika. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    25,881 views
    Duration: 28:11
    Serikali ya Tanzania inasema ina mafuta ya kutosha kuitosheleza nchi yake. Waziri anayeshughulikia sekta ya nishati, Deogratius Ndejembi ametoa onyo kwa wafanyabiashara watakaoficha mafuta kwa lengo la kusubiri bei kupanda duniani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw