23 Jun 2026 12:26 pm | Citizen TV 414 views Duration: 1:31 Familia moja katika kijiji cha Mwalubemba eneo la Ukunda Kaunti ya Kwale yataka kuangaliwa upya kwa mzozo wa ardhi baina yao na mwekezaji aliyenunua kipande cha ardhi kutoka kwa jirani yao.