15 Sep 2026 10:57 am | Citizen TV 294 views Duration: 2:06 Wafanyabiashara wawili katika eneo la Samburu eneo bunge la Kinango kaunti ya Kwale, wameiomba serikali kutatua mzozo wa ardhi ya ekari 3,100 wanayodai kuimiliki katika kijiji cha Munyuni.