Skip to main content
Skip to main content

Mzozo waibuka kuhusu usajili wa Waganda wenye vitambulisho vya Kenya

  • | Citizen TV
    1,466 views
    Duration: 2:35
    Baadhi ya wabunge wa kike wanaounga mkono serikali wameendelea kutetea hatua ya kuruhusu usajili wa wapiga kura kutoka Uganda, endapo wana vitambulisho vya Kenya, wakitaja kuzuiwa kwao kufanya hivyo kama ukiukaji wa haki zao za kimsingi. Hata hivyo kinara wa chama cha PPK, Ndindi Nyoro ametaja mpango huo kama njama ya kuiba kura. Bonface Barasa anatuarifu zaidi.