- 2,047 viewsDuration: 1:39Naibu Gavana wa Mombasa Francis Thoya ameitaka serikali ya kitaifa kupanua barabara kuu ya Mombasa kuelekea Nairobi ili kupunguza ajali. Akizunguma huko Changamwe , Thoya ametaka pia taasisi za serikali kukoma kulaumiana na badakla yake kutafuta suluhu ya kudhibiti ajali katika barabara hiyo.