- 739 viewsDuration: 1:25Naibu rais profesa kithure kindiki amesisitiza kuwa serikali itakamilisha ujenzi wa barabara zote ilizoahidi kote nchini akiwasuta wapinzani waliodai kuwa serikali ilikuwa inatenga tu wala haitekelezi miradi. kindiki alikuwa akizungumza alipozindua ujenzi wa barabara ya kimbo kuelekea matangini eneobunge la juja kaunti ya kiambu.