Skip to main content
Skip to main content

Naibu Spika Trans Nzoia Obed Mwale akamatwa kwa madai ya kuongoza kundi la wahuni Kitale

  • | Citizen TV
    3,231 views
    Duration: 1:29
    Naibu Spika wa Bunge la Kaunti ya Trans Nzoia Obed Mwale amekamatwa na maafisa wa idara ya upelelezi wa jinai (DCI) kuhusiana na madai ya kuwa kinara wa kundi la wahuni wanaodaiwa kusababisha vurugu na mjini kitale.