Skip to main content
Skip to main content

Nairobi kuandaa Mashindano ya Riadha ya Dunia 2029

  • | Citizen TV
    5,931 views
    Duration: 8:36
    Mashindano ya riadha ya dunia yataandaliwa Nairobi mwaka wa 2029 baada ya kenya kushinda zabuni ya ubingwa huo. Wakati akitoa tangazo hilo huko Budapest, Hungary, rais wa riadha duniani Sebastian Coe alisema nairobi ilitoa mazingira ya kipekee na mashabiki wa riadha wenye shauku kama ilivyoshuhudiwa katika hafla za awali za riadha za dunia huko Nairobi mwaka wa 2017 na 2020. Nairobi ilizibwaga miji ya Londond, Munich na Rome