Skip to main content
Skip to main content

Namusasi FC ndio mabingwa wa makala ya 9 ya kombe la Hezekiah Otsiula

  • | NTV Video
    107 views
    Duration: 1:30
    Namusasi FC ndio mabingwa wa makala ya 9 ya kombe la Hezekiah Otsiula, baada ya kuwazaba Khasoko FC bao 1 kwa 0 kwenye fainali iliyochezewa katika uwanja wa shule ya msingi ya mungore eneobunge la bumula kaunti ya Bungoma. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya