- 4,181 viewsDuration: 7:12Kutana na binti mdogo, muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, mwenye kipaji cha kipekee ambacho alianza kukitumikia tangu akiwa darasa la nne. Hadi sasa, ameshatoa zaidi ya nyimbo ishirini, ambazo amekuwa akizisambaza kupitia mitandao ya kijamii pamoja na ukurasa wake wa YouTube. Amefanikiwa pia kushirikiana na waimbaji wakubwa wa nyimbo za Injili kama vile Godfrey Steven, Obby Alpha, na wengine wengi. Mwandishi wa BBC, @marthasaranga, amefanya mahojiano na @naomijamesofficial na kutujuza jinsi ambavyo anapenda kuisherehekea sikukuu ya pasaka na mipango yake ya baadaye. 🎥: @frankmavura #bbcswahili #pasaka #wakristo #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw