Skip to main content
Skip to main content

NCCK na LSK wakashifu uvamizi wa All Saints Cathedral

  • | Citizen TV
    3,857 views
    Duration: 3:22
    National Council of Churches of Kenya na Law Society of Kenya wamekashifu vikali uvamizi wa wahuni katika All Saints' Cathedral Nairobi Ijumaa wakati wa mkutano wa kuchambua bajeti. NCCK imetaja uvamizi huo kuwa dharau kubwa kwa eneo la maabadi na ukiukaji wa haki za kibinadamu na kikatiba. NCCK sasa inawataka maafisa wa polisi kuwafichua waliohusika na kuwachukulia hatua za kisheria. Na kama anavyoarifu Stephen Leto, kufikia sasa mtu mmoja aliyetiwa mbaroni hajulikani alikopelekwa.