Skip to main content
Skip to main content

NCCK yashawishi kina mama walemavu kuwania uongozi

  • | Citizen TV
    521 views
    Duration: 3:09
    Watu waanaoishi na ulemavu, kina mama pamoja na vijana katika kaunti ya samburu wamehimizwa kujitokeza na kusaka nyadhifa za uongozi kwenye uchaguzi mkuu ujao. Wametakiwa kupigania nyadhifa hizo ili kufanikisha mageuzi ya uongozi.