- 466 viewsDuration: 3:17Makamanda wa polisi kutoka Kaunti kumi na nne za Bonde La Ufa, hii Leo wamekutana Katika Kaunti ya Nakuru, kujadili swala la Usalama wakati wa kampeni za siasa za uchaguzi Mkuu ujao. Mkutano huo unalenga kuratibu mikakati ya kuzuia ghasia na machafuko na kudumisha amani katika Kaunti hizo 14.