Skip to main content
Skip to main content

Nderiu M kutoka Kaunti ya Nairobi ashinda Sh1.99 milioni kupitia Shabiki.com

  • | Citizen TV
    263 views
    Duration: 1:06
    Nderiu M mwenye umri wa kutoka kaunti ya Nairobi amejishindia kitita cha shilingi milioni 1.99 baada ya kucheza mchezo wa crash kwenye Shabiki.com.Nderiu, mfanyikazi katika duka la vifaa vya ujenzi, anasema fedha hizo zitamwezesha kuanzisha biashara yake binafsi na kuwekeza sehemu ya pesa hizo kwa manufaa yake ta baadaye. Wakati huu ambapo dimba la Kombe la Dunia linaendelea, Shabiki.com inaendelea kuwatuza wateja wake kupitia Shabikia World Cup Kishabiki, jumla ya shilingi milioni 9 zinashindaniwa kwenye shabiki.com.