Skip to main content
Skip to main content

Ndindi Nyoro amtaka Ruto kujiandaa kwa ushindani mkali kutoka kwa upinzani

  • | Citizen TV
    2,399 views
    Duration: 53s
    Kinara wa People’s Party Ndindi Nyoro ameendeleza kampeni zake katika Kaunti ya Nakuru, akimtaka Rais William Ruto kujiandaa kwa ushindani mkali kutoka kwa upinzani. Akizungumza katika mkutano wa hadhara eneo la Gilgil, Nyoro alimshutumu Rais Ruto kwa kile alichodai ni kushindwa kutatua changamoto za kiuchumi zinazowakabili Wakenya.