Skip to main content
Skip to main content

NTSA yawafanyia madereva zaidi ya 1,000 uchunguzi wa macho kaunti ya Laikipia

  • | Citizen TV
    1,155 views
    Duration: 1:32
    Madereva zaidi ya elfu moja, wamefanyiwa uchunguzi wa macho katika Kaunti ya Laikipia katika zoezi lililoandaliwa na Mamlaka ya Kitaifa ya Uchukuzi na Usalama Barabarani (NTSA) kwa ushirikiano na maafisa wa polisi wa kaunti hiyo.