Skip to main content
Skip to main content

Nyakang’o aibua maswali kuhusu matumizi ya bajeti za miradi ya maendeleo katika kaunti

  • | Citizen TV
    392 views
    Duration: 2:53
    Mdhibiti wa bajeti za serikali Margaret Nyakang'o ameibua maswali mapya kuhusu matumizi ya bajeti za miradi ya maendeleo katika kaunti, huku kaunti tisa zikitumia chini ya asilimia 20 ya bajeti katika miezi tisa ya mwaka huu wa kifedha. Katika ripoti yake ya punde, kaunti ya Kajiado County, Lamu County, Siaya County na Uasin Gishu County zilitumia chini ya asilimia 15 ya bajeti huku zaidi ya miradi 200 ikikwama.