- 3,845 viewsDuration: 2:47Familia moja kule Bobasi kaunti ya Kisii imelazimika kuvumilia kijibaridi kwa zaidi ya mwezi moja sasa baada ya makazi yao kubomolewa kwenye mzozo wa ardhi. nyumba zao tisa zimebomolewa na watu wanaodai kumiliki shamba hilo la ekari nane.