4 Nov 2026 1:19 pm | Citizen TV 718 views Duration: 2:18 Chama cha ODM tawi la Suba kaskazini kimeanza mchakato wa kuhakikisha wavuvi walioko ziwani wamepata vitambulisho na kura ili wapate nafasi ya kuchaguana mwakani .