15 Sep 2026 10:46 am | Citizen TV 347 views Duration: 55s Katibu mkuu wa chama cha ODM Catherine Omanyo amesisitiza kuwa hawataruhusu chama cha ODM kumezwa na vyama vingine hata baada ya kuundwa kwa serikali ya muungano, wakitaka mgao wa nusu bin nusu, serikalini