- 2,329 viewsDuration: 2:59Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma imefutilia mbali mashtaka ya mauaji dhidi ya maafisa 15 wa polisi waliohusishwa na kutoweka pamoja na kuuawa kwa raia wawili wa India na dereva wao wa teksi mwaka wa 2022. Hata hivyo, afisi hiyo iliiarifu mahakama ya Kiambu kwamba kesi ya uteka nyara dhidi ya washukiwa hao itaendelea.