Skip to main content
Skip to main content

Ole Sapit aonya dhidi ya wahuni kwenye siasa

  • | Citizen TV
    396 views
    Duration: 1:23
    Haya yakijiri, Askofu Mkuu wa Kanisa la Kianglikana nchini, Jackson Ole Sapit, amewaonya wanasiasa wanaotumia makundi ya wahuni kusababisha ghasia kwenye mikutano ya kisiasa. Askofu Mkuu huyo wa ACK ameonya kuwa hali hii huenda ikazidi kuyumbisha usalama wa taifa, hasa wakati huu ambapo taifa linajiandaa kwa uchaguzi mkuu mwaka ujao. Ole Sapit alizungumza katika Kaunti ya Baringo wakati wa kutawazwa kwa Askofu Samuel Bunyatta wa Dayosisi hiyo.