Skip to main content
Skip to main content

Omar Hassan awapongeza washindi wa UDA katika chaguzi ndogo

  • | Citizen TV
    1,686 views
    Duration: 1:43
    Katibu mkuu wa chama cha uda Omar Hassan awapongeza washindi wa UDA katika chaguzi ndogo za jana. Akizungumza katika makao makuu ya uda hapa Nairobi Omar amempongeza David Kipsang Keter kwa kuchaguliwa kuw mbunge wa Emurua Dikirr, pamoja na Daniel Lolngo jine aliyeshinda kiti cha wadi ya Porro na Festus Korir aliyeshinda uwakilishi wadi wa Endo.