Skip to main content
Skip to main content

Operesheni ya uokoaji Eastleigh yasitishwa baada ya siku 15, watu watatu bado hawajulikani waliko

  • | Citizen TV
    5,621 views
    Duration: 2:45
    Baada ya siku 15 za operesheni ya uokoaji, asasi za uokoaji zimetangaza rasmi kusitisha zoezi hilo katika eneo la mpromoko wa jengo mtaani Eastleigh, Nairobi. Kufikia sasa, miili minane imepatikana huku watu wanne wakiokolewa wakiwa hai. Hata hivyo, watu watatu walioripotiwa kutoweka bado hawajapatikana. Mary Muoki anaripoti.