Skip to main content
Skip to main content

P Funk: "Nina wasiwasi utambulisho wa bongo fleva unapotea"

  • | BBC Swahili
    10,235 views
    Duration: 9:36
    Muandaaji mkongwe wa muziki wa Bongo fleva nchini Tanzania ambaye pia ndiye muasisi wa muziki huo Paul Matayes almaarufu P funk anasema anajivunia kuona bongofleva ilipofika licha ya kamba anawasiwasi utambulisho wake unapotea kutokana na wasaninii wengi wa sasa kutaka kuendana na søko la kimataifa. P funk aliiambia BBC jina Bongo Fleva liltokana na msemo wa mtaani miaka ya tisini kwamba ili uishi Dar es salaam ilikuwa lazima utumie uBongo. Kwa sasa P funk ameachana na uandaaji wa muziki na amejikita kwenye kilimo na uandaaji wa makala za utalii na filamu. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds alimtembelea jijini Arusha na hIi hapa ni taarifa yake. - - #bbcswahili #BongoFleva #mūziķi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw