- 467 viewsDuration: 2:34Huku msimu wa mvua ukianza rasmi, hofu imetanda miongoni mwa wakazi wa mji wa Gataka kaunti ya Kajidao ambao kila msimu wa mvua hukumbwa na changamoto ya mafuriko . Hali hiyo imechochea kanisa la PCEA Upendo kuongoza zoezi la kusafisha mitaro na mazingira katika juhudi za kupunguza athari za mafuriko.