8 Sep 2026 1:16 pm | Citizen TV 1,974 views Duration: 1:25 Aliyekuwa Katibu wa Michezo Peter Kaberia amekamatwa baada ya ODPP kuidhinisha mashtaka dhidi ya washukiwa tisa wanaodaiwa kufuja Sh330 milioni za CHAN.