6 Nov 2026 1:12 pm | Citizen TV 9,860 views Duration: 1:18 Maafisa wa usalama katika kaunti ndogo ya Bangale huko Tana River wamefichua njama ambapo simu za kuibwa na wahalifu katika mji wa Madogo zinafunguliwa na kuuzwa kama vipuri.