- 7,123 viewsDuration: 58sMaafisa wa polisi kaunti ya Kisii wameanzisha uchunguzi baada ya wanafunzi wa shule ya upili ya Nyabisase, eneo la Bobasi kuwavamia na kuwajerushi maafisa wa baraza la mtihani nchini KNEC na maafisa wa polisi walioandamana nao.