- 2,858 viewsDuration: 2:40Polisi mjini Kitale wamewakamata washukiwa 61 kufuatia visa vya utovu wa usalama vilivyosababishwa na uhasama baina ya makundi mawili ya magenge katika mitaa ya Premium na Shanti, viungani mwa mji wa Kitale. Msako huo unajiri baada ya wakazi wa maeneo hayo kulalamikia usalama wao, suala lililowalazimu kufunga biashara zao mapema huku wengine wakihama.