Skip to main content
Skip to main content

Polisi waanzisha uchunguzi wa mauaji ya mwalimu

  • | Citizen TV
    6,581 views
    Duration: 1:02
    Maafisa wa polisi katika Kaunti ya Kericho wameanzisha uchunguzi wa kutegua kitendawili cha mauaji tata ya mwalimu Martina Chepkemoi Ruto, aliyeripotiwa kutoweka wiki moja iliyopita.