- 1,704 viewsDuration: 2:55Maafisa wa polisi katika kaunti ya Nakuru wameanzisha uchunguzi kufuatia kifo cha kijana mmoja mwenye umri wa miaka 14 katika mazingira tatanishi. Elvis Maina alifariki siku tatu baada ya kupashwa tohara, huku watu watatu wakizuiliwa na polisi kuhusiana na kifo hicho. Evans Asiba anaarifu zaidi.